Mipango ni kujipanga Ladies! Tips zaku zingatia wakati au ukiwa unakribia hedhi! Make sure muda na wakati wote una #FlowlessPads zako kwenye pochi for a fearless Flow! 😊
Jisikie poa kwa kutumia pedi za Flowless, haziwashi, pamba halisi na umbo la petali linalozuia misuguano ya ngozi. Ipate madukani sasa kwa bei ya shilingi elfu tatu tu. #NikoHuru#Flowess
Viungo vingi vya mwili ili viweze kufanya kazi vizuri vinahitaji maji, na zaidi ya asilimia 60 ya uzito wa mwili wa binadamu ni maji. Kumbuka kunywa maji angalau lita 2 kwa siku.
#Monday#Flowless