Kama wewe ni mwalimu na umetafuta kazi ajira portal umekosa hii thread inakufaa kabisa
Nitakuonesha jinsi unavyoweza kulipwa online kwanzia $15-$25/saa kwa kufundisha online
PS: Repost kwa wengine & soma mpaka mwisho
Thread๐
Kama umekuwa ukitamani kutengeneza akaunti yako ya PayPal iliyo verified lakini unashindwa, huu ni uzi bora kwako
Hakikisha unasoma mwanzo mpaka mwisho
Shuka na thread ๐
PS: Usisahau kurepost kwa watu wengine wapate kujifunza
Kuna watu ambapo mnapata changamoto ya kufungua akaunti za PayPal?
Kama mpo comment hapa chini๐ kesho niandae uzi wa kutengeneza verified PayPal account
PS: Usisahau kurepost kwa watu wengine ๐ค
Prime luxury real estate arrives on December 10 in GTA Online: A Safehouse in the Hills.
Experience an all-new action-packed adventure โ along with new vehicles, the return of a familiar face, and much more.
Nilijua tu kuna siku utakufa kama ilivo nature yetu lazima tufe ila kufa kwa kupigwa Risasi mdogo wangu haukustahili kabisa ulikuwa Humble sana.
Naskia wameku shoot ukiwa jikoni unakula hatuna power ya kudai haki yako kwa haraka ila itapatikana Trust Me. ๐
Pambana bila kukata tamaa, jitume na fanya kazi kwa bidii kisha usiku wa leo lala ukiamini kuwa MUNGU ataweka kila kitu sawa. Wakati wako wa Ushindi upo karibu sana tena umekaribia kuliko unavyoweza kufikiria.