Iam still reflecting kikao cha jana huko Nairobi
👉Kenya ina makampuni 530 ndani ya Tanzania
👉Tanzania ina makampuni 30 tu Kenya
Hapa ndipo tunapohitaji kuweka msisitizo.. Siyo tunachekelea tu kupeleka nyanya na mahindi Kenya. Investors wa Tanzania lazima wawezeshwe yaani
Viongozi wanapoelewana ni tija kwa nchi zao. NI wakati pia sasa kuimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuondoa mivutano ya nchi na nchi.Tangu kukwama ile azma ya kuwa na Umoja wa kisiasa uliokusudiwa kufikiwa 2012, kasi ya Jumuiya imepungua kiasi ya kukwamisha matarajio.
Here is what I decided years ago
👉🏽 I am unstoppable - no challenge is big enough to stop me from achieving my dreams and goals
👉🏽 I am anti fragile - the more you try to break me, the stronger and better I become
👉🏽 only show what you choose to show, never brag! #WalkYourPath
Halima Cisse binti wa miaka 25 toka Mali amejifungua watoto 9 na kuvunja rekodi ya dunia iliyokuwepo ambayo mtu pekee kujifungua watoto wengi na wakaishi ni 8. Halima alipelekwa Morocco na Serikali ya Mali ili apate uangalizi maalum. Watoto 5 wa Halima ni wanaume na 4 ni wakike.
Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson amesema, leo Alhamisi kulikuwa na kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, lakini "hakuna mbunge aliyejiandikisha kwa ajili ya kumuuliza waziri mkuu." Hata hivyo, wakati akitoa kauli hii, waziri mkuu, hakuwepo ndani ya ukumbi wa Bunge.😂
TANZIA
Nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Mama yangu mkubwa Zainab Athuman Dada wa Mama yangu Mzazi Amina Athuman kilichotokea asubuhi ya leo, kwa maumivu makubwa nalazimika kukatisha Ziara yangu ya kuwatembelea Wafungwa wa kisiasa Magereza na kuelekea Msibani Iringa.
Jamani Gazeti la Tanzanite liko wapi? Mbona sijaliona kwenye mukhtasar za habari kwa muda sasa? Kulikoni? Au linachapishwa wiki mara moja Siku hizi? Au limebadilishwa jina?
Anaeelewa anafahamishe please.
Kauli patanishi na unganishi za Rais @SuluhuSamia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni mkubwa zaidi. Rejesha tabasamu la Haki, Uhuru na Demokrasia. Tunakusubiri. #NeverAgain
Nimerejea salama kutoka Nairobi nchini Kenya ambako nilikuwa katika ziara rasmi. Nimefurahishwa na mafanikio makubwa ya ziara hii kwani mimi na Kaka yangu Mh. Rais Kenyatta tumekubaliana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango zaidi ya watu wetu kuwekeza na kuinua uchumi
Banyamulenge killing needs to stop or to be stopped because their lives matter. Let’s retweet this and tell the world what’s happening.
#RwOT#savemulenge
“Tanzania na Kenya si tu majirani, bali ni ndugu. Kenya inashika nafasi ya tano kwa uwekezaji Tanzania kwa nchi zote duniani na ya kwanza kwa nchi za Afrika Mashariki. Nimeweka ahadi kwamba Tanzania tunakuja kuwekeza Kenya kwa nguvu yote“ – Rais @SuluhuSamia