Ee Mwenyezi Mungu jalia wateja wangu waone THAMAN ya pesa yao kwenye huduma ninazo wapaπ€²
Ee Mwenyezi Mungu wakumbushe wateja wangu kulitaja jina langu na huduma zangu kwa rafiki zao na watu wengine piaπ€²
Ee Mwenyezi Mungu tujalie afya njema na yote yalio mazuri mbele zako.
Ukiweka laki moja M-Pesa au Airtel Money, baada ya mwaka utaikuta vile vile. Lakini ukiweka kwenye bank, baada ya mwaka unaweza kukuta balance ni 0. Kama hauna umuhimu wa kutumia bank, bora kuweka pesa zako kwenye simu!
Unataka kuwa Wakala wa Huduma za kifedha?
Yani wakala wa Tigopesa, Airtelmoney, M-Pesa, Halopesa, CRDB au NMB etc?
Wasiliana nami kupitia 0788185929/0747775929.
Upate Till zake chapu π€
Kama huna mchongo wa kukuingizia pesa ya maji (Side Hustle)
Fanya kitu kimoja π
Repost Posts zangu ukipata mteja
Unapata Ganji Kifusi βna tarehe 15 unapata vocha mlima
Mitandao ya kijamii ina pesa nyingi sanaπ
Wamekwambia kaa kimya dakika 7 upewe milioni 1
Ikafika Dakika ya 6 wakakuuliza wakupe Cash au Wakutumie kwenye Account.
Utajibu au utaendelea kukaa kimya??
ππ