@privaldinho Shayo tumia basi akili kidogo
Mayele aziz ki mlishindwa vp kuwabakiza?,hamkua na msuli huo??
Au kwakua mmekutana na kijana wa,kitanzania mnaotumia njia kwamba mlipewa kama,zawadi mkamkuza????
NANI ALIYEMALIZA UHAI EDWARD MORINGE SOKOINE?
Thread 🧵🔥
"...Mungu akipenda tutakutana tena kwenye kikao kijacho cha bunge. Mimi nasafiri kwa njia ya barabara ili nijionee hali ya mazao ya wakulima..."
SHUKA NAYO⤵️
FAHAMU UKWELI WA VITA BAINA YA VIETNAM NA MAREKANI.
“Wamarekani walikuwa na taharuki, wakishangaa watu hawa walitoka wapi na kwa nini hawafi, Kati ya 1965 na 1968, Vietnam ilikuwa kama kuzimu na jeneza kubwa.”
Wakati wa Vita vya Vietnam, Wamarekani walijaribu moja ya operesheni zao hatari zaidi, wakitumia kikundi maalumu cha wanajeshi wa Marekani waliokuwa wakijulikana kama “Panya wa Handaki”.
Waliingia kwenye handaki za wa Wavietnamu, lakini hawakujua kwamba walikuwa wanaingia motoni.
Wapiganaji hao walikuwa wanajeshi wa Marekani, Australia, na New Zealand waliopatiwa mafunzo maalum kama wahandisi wa kivita, waliotambaa kupitia handaki chini ya ardhi vya Viet Cong ili kufanya misheni za siri za upelelezi na uharibifu zilizojaa hatari…….
Fahamu zaidi kuhusu vita hivi vilivoishangaza Dunia🧵
@kinlop_ UZI🧵👇🏽
Matunda na Asali Sio Adui Yako— Uongo Unaokuibia Afya Bila Kujua..!
Leo nataka kuokoa afya yako kabla hujaitupa kwa sababu ya propaganda za Mitandaoni.
Umesikia watu wakisema "Matunda yana sukari nyingi, Ni hatari kwa afya yako" Kwamba Usile Matunda..?
Subiri nikuonyeshe kwanini hiyo dhana— Sio ukweli..!
Soma kwa makini...Open Thread 🧵
Watu wengi wanauliza, "Who’s Said Lugumi?"
Let me give you what I know about this guy — I stand to be corrected.
Saidi Hamad Lugumi ni mfanyabiashara mkubwa nchini Tanzania, anayejulikana zaidi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Lugumi Enterprises Limited.
Lakini pia kupitia kampuni ya Tactical Defencs (T) Limited ni wakala wa makampuni makubwa ya silaha duniani.
Biashara yake kubwa ni military equipment — literally, hata ukitaka kifaru cha jeshi, this is the guy to contact.
Partners wake wa kubwa kwenye biashara yake ya silaha ni governments, armies pamoja na Law Enforcement Agencies.
Lakini pia, kampuni yake inajihusisha na huduma za uchapishaji wa vifaa vya ki-ofisi, teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT), na military software za kisasa. Jamaa ni tech-savvy lakini in a war-like way!
Kidogo kuhusu background yake:
Mwamba alizaliwa mwaka 1972 huko kanda ya ziwa Magu, Mwanza.
Baada ya miaka kadhaa ya kusugua bench huko Magu, alihamia Dar es Salaam miaka ya 1990.
His intention was very clear, kwenda kufanya biashara kwa kiwango cha juu zaidi.
Hakuwa na hela pesa lakini he was very sure about one thing — kama nikijituma na kumuomba Mungu nitafanikiwa siku moja.
Alianzia biashara zake kutoka chini kabisa — pure hustle! na this is the story of motivations.
Hakuwa na bahati ya kuhitimu elimu ya juu, lakini this dude knows how to get things done. Hakubahatisha, alikuwa na focus.
Maisha ya biashara:
Lugumi ameingia katika biashara kubwa za kimataifa — kutoka software za kijeshi hadi deals za silaha za kivita.
Jamaa sio tu mfanyabiashara, ni plug. Unahitaji drones za kijeshi? Kitu cha kufunga fingerprint scanners? Bomu la nuclear? Call Lugumi anajua atakipata — he's the guy.
Mwaka 2016, kampuni yake ilihusishwa na controversial deal ya bilioni 37 kwa ajili ya kufunga vifaa vya biometric fingerprint kwenye vituo vya polisi.
Hata hivyo, kulikuwa na ugomvi kidogo, lakini mwamba ali-play it smart, na suala likaisha kwa maelewano.
Hobby yake ni silaha:
Lugumi anapenda silaha kama mtoto anavyopenda pipi.
Akiskia mlio wa risasi au harufu ya bunduki, anaweza kukuambia ni aina gani ya bunduki imetumika — CheyTac M200 Intervention, HK416, FN SCAR-H, Barrett M82/M107... bro knows them all. Ni kama dictionary ya silaha zinazovuma.
Na kama hiyo haitoshi, jamaa ni kama collector wa silaha za kipekee.
Kwenye picha zake utamkuta ameshika mashine kama TrackingPoint Smart Rifle — "kwa sababu ni kama sniper"
Pia inasemekana, Lugumi huwa na falsafa zake kuhusu biashara:
1. "Kama kitu kinapiga kelele sana, hakitishi."
2. "Unapobeba silaha kubwa, fanya deal kubwa."
Extra funny fact:
Jamaa ni mtu wa kuvaa kawaida, lakini ukisogea ofisini kwake unapata mazingira ya "military meets tech lab." Kuna CCTV ambazo hazina macho tu, zinakuangalia mpaka rohoni!
In short, Said Lugumi ni real deal. Huyu jamaa amebadilisha sekta ya vifaa vya kijeshi na kuwa plug kwa serikali nyingi za Afrika.
Haters wapo, lakini Lugumi anaendelea ku-win kwa sababu knows how to stay relevant.
You want something done in military tech? This is the guy!
Jana Diamond Platnumz ali-peform, kwenye CAF awards..
Perfomance ambayo bado inaleta Mizozo mingi online..
Nimewaletea Perfomances za Diamond kwenye Events kubwa, kuanzia 2023..
Na nimezipangilia, kuanzia aliyofanya vizuri zaidi mpaka ya mwisho
Video kwa Comments 👇
Harmonize Katunga Wimbo Kipindi Cha Raha Za Ushindi Wa Yanga...Ila Umetamba Zaidi Kwenye Wakati Mgumu Anaopitia Yanga...Sometimes Nyakati Ngumu Ni Shule Kongwe....
⏳TOP TEN YA WAPIGAJI BORA WA PENALTI WA MDA WOTE.
.
🧵Kufunga magoli ya Penalti yanahitaji ufundi pia. Sio kila mtu anaweza. Wafuatao ni wapigaji bora wa Penalti Tanzania kwa Miaka 20 iliyopita.
.
NB: HUYO NAMBA MOJA HATA CAF WANAMTAMBUA AFRIKA 🙌🏿🤩
LEO NAKUJUZA USIYO YAJUA KUHUSU KITABU CHA ENOKO
NB: Uzi ni mrefu sana
Kwa Mujibu wa simulizi za kiebrania, Enoko ndiye Mtu pekee aliyeweza kukutana na Malaika tofauti tofauti yaani zaidi ya mmoja.
Binadamu Wengine waliowahi kukutana na Malaika walikutana aidha na Gabriel au Mikael au Rafael
Enoko ndiye Mhusika pekee aliyeweza kuwataja Malaika wengi zaidi Kwa majina na Sifa zao za kimaumbile.
Enoko ndiye Mhusika pekee kwenye Biblia aliyeweza kuelezea Mianga kama Jua na Mwezi na mizunguko yake.
Enoko alikuwa Mtu wa kusafirishwa na Malaika kutoka anga Moja kuelekea nyingine. Ilikuwa kawaida Kwa Enoko kupotea hata miaka 50 bila kujulikana alipo.
Enoko ndiye Mhusika pekee aliyeelezea Kwa majina Malaika 200 Walioasi na kuzaliana na Wanadamu.
Kwa jinsi nilivyoielewa simulizi ya Enoko ni Kwamba, binadamu ni kama mnyama, tofauti yake ni utashi tuu.
Stori ya Kitabu cha Enoko Kwa kifupi Ipo hivi.
Kuna mbingu 12 na kila mbingu kuna Malaika wake Mkuu anayoiongoza.
Malaika 200 waliasi wakiongozwa na Kiongozi wao aitwaye Samzaiya. Viongozi Wengine ni Azazel
Katika hao Malaika kila Malaika alikuwa na sifa, uwezo na nguvu zake. Wapo waliokuwa na mbawa Mbili, wapo mbawa nne (Serafi) wapo wa mbawa sita (Makerubi) na yupo Malaika mmoja aitwaye Samael mwenye mbawa Kumi na Mbili (Huyu role yake ipo kitofauti)
Malaika hawa walikuja kuzaa na Wanawake wa wanadamu. Wakazaa majitu, Nephili au miunguwatu (Demigods)
Azazel Moja ya Malaika alioasi aliwafundisha Wanadamu Teknolojia za silaha, uchawi, unajimu, urembo kama kupaka makeup. Kitabu kinaeleza kuwa Malaika walioasi wakawafundisha mambo mengi sana àmbayo Kwa Sasa ndîo tunaita Teknolojia na utandawazi.
Jambo lililonishangaza ni kuona mpaka masuala ya Teknolojia ya kutumia Dawa Fulani ili Wanawake wasibebe mimba ili kutoharibu urembo wao. Hii ilifanya Baadhi ya Wanawake waliotumia Teknolojia ya Kuzuia mimba baadaye kushindwa kupata watoto.
Enock anaeleza hayo.