‼️ALERT🚨‼️
#Tanzania Massacre cover up!
There are unconfirmed reports that the @twigacement factory is used to cover up the massacre by disposing of bodies in furnaces
This is Nazi Germany style - evil!
Twiga Cement is a subsidiary of Heidelberg Materials and must immediately ensure that this activity is halted
Cc @GermanyDiplo@germanytz@davidmcallister
#SamiaMustGo #MO29
Mauaji haya ni zaidi ya mauaji ya Sharpeville Massacre (1960) na Soweto Uprising (1976) huko South Africa wakati wa APARTHEID ukiyaweka yote pamoja!
Ukatili uliofanywa unazidi unyama wa MAKABURU…Mioyo ya Watanzania inavuja damu, kwetu MBEYA na NYASA kila eneo ni MISIBA! 😭😭
‼️🚨NENDENI HOSPITALI YA WILAYA ILALA KIVULE SASA HIVI‼️
Mnaotafuta miili ya wapendwa waliouwawa maeneo ya Tegeta na Mbezi WAHINI
Hatutakubali mfiche miili ya ndugu zetu!
🔥 Hatuombi TUNADAI miili hiyo! Hamna utu ninyi 🚮
Sambazeni taarifa watu waende! Na wakikataa wajiandae kwa protest wave ya pili! Hatuwezi kuwa koloni la kikundi cha magaidi!
Tutashinda hii vita dhidi ya UOVU - hakuna kulia au kuogopa - hakuna kukaa kinyonge!
Very reliable source has informed us that bodies are hidden at Ilala Kivule hospital - time to DEMAND the bodies! No more cover ups!
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #MO29
Somebody tell me:
If a president from Zanzibar (distinct in culture) uses militia and security forces to target and kill solely people of Tanganyika - what is the exact definition? Thousands including children have been killed and we have the photo and video evidence!
The order included taking out male members of a household above the age of 15
Is this “post election” violence or massacre or genocide?
The person who ordered this should be called a butcher, no?
#SaveTanzania #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #MO29
Samia Suluhu shot mothers in their homes, they were not even protestors, she just wanted to kill as many Tanzanians as possible inorder to get total obedience.
❤️❤️🇹🇿🇰🇪
Siblings!
💪🏽✊🏽
Thank you jirani! You had our back in these dark hours hadi Mama wa Kambo alimsingizia mtoto mtukutu eti ndo kafanya maandamano!
Ila sisi hatutatengenishwa
#EACsolidarity 🔥