Hospitali ya Mkoa Iringa 2021-2025:
-imeanzisha kitengo cha kutengeneza viungo bandia kwa ajili ya wagonjwa wanaopata ajali
-imenunua Digital X-ray 2 na CT-Scan 1
-EMD imeongezwa kutoka chumba kimoja hadi jengo la wodi ya EMD
-imejenga ICU inayochukua wagonjwa 20