@pastajoshuatz Kila kinywa kitakiri kumjua Mungu kwa njia yake
Hata wasio na Dini au Imani bado Matendo yao kwa Mungu ya ubaya au wema (Dhambi) yanarekodiwa
Siku hiyo kila nafsi itaona na kushuhudia ukweli wa nafsi yake mbele za Mungu
Mungu ni wamataifa yote
Si dini wala dhehebu fulani
@MkulimaKante Hapana
Damu ni uhai wa kila kiumbe
Na kila mtu ana damu yake
Na hiyo damu yake ndiyo uhai wake
Tunatumia maneno ya Yesu
" Ninani kati yenu anayeweza kurefusha maisha yake kwa kujaribu kuiokoa nafsi yake"
Damu ni kitu kitakatifu
@BigChe_98@MkulimaKante Safi
Mapokeo yapo ya aina 2
1. Mapokeo ya Kibiblia
2. Mapokeo ya Kikanisa
Tunaongozwa na Mapokeo ya kilichoandikwa kwenye Biblia kama Tulivyoipokea bila kudondosha hata nukta moja