@Sativa255 Canada ndo walidefend mda mwingi south walikuwa kwenye half ya canada,baada ya kuingia DAVIS angalau game ikabadilika ila south walikuwa bora sana ukilinganisha na canada.
utaratibu wa kupata interview redioni ukoje? Huwa wana Angalia criteria gani kwa mtu mpaka anapata airtime ya kuruka hewani? Mfano jana PB shafii brand anazungumzia issue zake personal! Huwa Wanaitwa au ARTIST ndo wanaomba ..@Wakazi kwa uzoefu wako unaelewa nini ?