Kwanza kabisa, hakuna Mkristo mwenye akili anayesema Yesu alikuwa Mzungu. Hilo ni suala la sanaa za Ulaya, sio mafundisho ya Biblia. Yesu alikuwa Myahudi wa Mashariki ya Kati — hilo halipingwi.
Lakini sasa kwenye hoja zako 👇
1. Kusujudu
Ndiyo, Yesu Kristo alisujudu.
Lakini kusujudu haimaanishi Uislam.
Manabii wengi walifanya hivyo hata kabla ya Uislam kuwepo — akiwemo Ibrahim.
So hiyo si “Islamic signature”, ni ibada ya kawaida ya unyenyekevu.
2. Kunawa / Usafi
Kunawa si wudhu ya Kiislam tu.
Hiyo ilikuwa sehemu ya Sheria ya Kiyahudi (Torah) ambayo Yesu aliishi ndani yake.
3. Sinagogi vs Kanisa
Umesema hakwenda kanisani — sawa.
Lakini unasahau kitu kikubwa:
Kanisa lilianza BAADA ya Yesu.
Na msingi wake uliwekwa na wanafunzi wake kama Petro Mtume baada ya tukio la Pentekoste.
So unataka afanye kitu ambacho hakikuwa bado kimeanzishwa? Haina mantiki.
4. Unyenyekevu katika ibada
Hapa hakuna ubishi — lakini hilo halifanyi Ukristo uwe Uislam.
Yesu alikemea unafiki, sio aina ya ibada yenyewe.
5. “Hakukuwa na nyimbo”
Hii si sahihi.
Yesu na wanafunzi wake waliimba nyimbo (Mathayo 26:30).
6. Mungu ni mmoja
Hapa ndio watu wengi wanachanganya.
Ndiyo, Mungu ni mmoja — lakini Ukristo unaelewa huo umoja tofauti (Utatu).
Na Yesu mwenyewe alijitofautisha na manabii wa kawaida kwa mambo kama:
•Kusamehe dhambi (Marko 2:5-7)
•Kujita “Mimi ni” (Yohana 8:58) — kauli inayohusishwa na Mungu
Hapa ndipo Ukristo unatofautiana na Uislam, si kwenye kusujudu au kunawa.
Unajaribu kumfanya Yesu aonekane kama Muislam kwa kuchukua matendo ya kawaida ya manabii na kuyaita ya Kiislam, huku ukipuuza mafundisho yake ya msingi kabisa.
@Psiteshio1 vema sana kamanda ila swala la kutaja hela kulinganisha na umuhimu wa Dr kwene jamii haifai coz dr ni zaidi ya 1bl. iliyopo kwene bank account, tupo duniani kwa kutoa hudumu so bila afya njema huwez fanya hata kugusa chochte.
Respect kwa idara zote za afya duniani.
#VIDEO Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetumia kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya Mashabiki katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid walioonesha kukasirishwa na uamuzi wa kuahirisha mechi kati ya TRA United na Simba SC kutokana na mvua ambapo baadhi ya madai ya Mashabiki yao yalikuwa ni kutaka kurudishiwa viingilio vyao, AyoTV inaendelea kuzitafuta Mamlaka husika ili kupata ufafanuzi wa hoja hizo za Mashabiki. #MillardAyoUPDATES
🩺 TIBA YA MINYOO YOTE TUMBONI 🪱 NA ALLEGY YA NGOZI
Kama umekuwa muda mrefu bila kujitibu minyoo — miezi au hata miaka — basi leo ni siku nzuri ya kusafisha tumbo lako kwa njia ya asili bila dawa za hospitali. 🌿 Hii pia itawafaa wale ambao minyoo imekomaa kiasi Cha kuzalisha sumu AMBAYO imeenea kwenye damu na kupelekea kupata miwasho AMBAYO ukijikuna tuu mwili unavimba Sasa Fanya yafuatayo.
Unachohitaji ni vitu viwili tu:
🥛 Nusu kikombe cha maziwa fresh
🧄 Punje 3 tuu za kitunguu saumu
Namna ya kutayarisha👇
1️⃣ Saga punje zako 3 za kitunguu saumu.
2️⃣ Mimina kwenye nusu kikombe cha maziwa safi.
3️⃣ Changanya vizuri mpaka ichanganyike sawasawa.
4️⃣ Kunywa asubuhi ukiwa bado hujala kitu chochote.
5️⃣Dawa hii unatumia kwa siku mbili tuu.
✨ Ndani ya muda mfupi, minyoo yote tumboni itaanza kufa unaweza jisaidia haja kubwa mda mfupi baadae na ukaishuhudia Minyoo au pengine usione kwani mda mwingine inasagika, na utahisi mwili wako ni mwepesi na tumbo limepumua vizuri.
Tumbo lako nalo linahitaji usafi wa ndani! 🌿
Jaribu tiba hii ya asili leo — rahisi, salama na yenye matokeo ya haraka
Maradhi mengi ikiwemo Kansa huanzia TUMBONI.