@Sativa255 Natamani ningekuwa karibu naye ale makofi.
Watu tunatoka familia hazina A wala B.
Mkopo wa chuo majanga. Mtaji kuomba bahati nasubu.
Arafu mtu anajigamba tu.
Kudadeki
@YerickoNyerereT Amekuwa mbunge kwa miaka mingapi?
Amelipwa posho ngapi za bungee.
Kwa mtu makini miaka miwili tu kwa malipo ya pale BUNGENI anatajirika sana.
Kamuulize MO.
USIWE FARA, TUMIA AKILI.
SIO KILA MTU NI SPENDER, KAMA UNAVYOTAKA WEWE, ALIPWE PESA ZOTE ALE.
Wengine AKILI MINGI
@Oleshangay Not.
Ameonesha hofu ya chama chake kwenye UJIO WA KATIBA MPYA.
Kiufupi yakale yote yatapita. tutakuwa na mapya.
Ndo hofu ya CHAMA CHA MAPINDUZI