God help our nation to understand the righteousness of God. God bless us with thy wisdom. Let us be people who like to live in love, love God, obey His Word, serve others, seek holiness, forgive, pray, and walk humbly daily.
Jana jioni nikiwa na viongozi wenzangu, tulipata nafasi ya kumtembelea mzee wetu ambae ni muasisi wa chama chetu Mzee Edwin Mtei.
Tulifurahi kupokelewa na familia yake na kupata nafasi ya kumuona na kumjulia hali mzee.
Tunamtakia Mzee Mtei maisha marefu zaidi na ya furaha.
Roho ya Wizi imeota Mizizi katika taifa letu watu wanaiba kila kila kitu,wanaiba kura alafu wanasema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki #NoReformNoElection
#TANZANIA: TUNDU LISSU AJA NA MAPENDEKEZO MAZITO KUELEKEA UCHAGUZI WA 2025
Mwenyekiti wa @ChademaTz, @TunduALissu aja na mapendekezo ambayo yanatakiwa kufanyiwa marekebisho ili uchaguzi mkuu wa 2025 ufanyike bila mashaka yoyote, moja ya mapendekezo aliyoyasema ni Tume ya uchaguzi kuwa huru ambayo Rais wa Tanzania anakuwa hajafanya uteuzi wa mtu yeyote katika tume hiyo hadi ngazi ya chini kabisa ya kusimamia uchaguzi.
Zaidi: https://t.co/FLXSA27MdX
🚨FAKE NEWS ALERT‼️
Machawa wameishiwa wamebaki kusambaza uongo
Ni rahisi sana kutambua kama habari ni feki - cheki kwenye ukurasa husika!
Pia huko Whatsapp namba inayotumika kusambaza hii propaganda iandike utupatie tuwajue hawa waongo!
Eniwei najua madhulmat yanahaha 😃 hadi #TutaelewanaTu mwaka huu
🔥👊🏽
Hapa sasa pameanza kueleweka
Najua kuna watu leo watalala na viatu maana siku tukiungana wanamabadiliko Tanganyika na Zanzibar - hii struggle tunamaliza mapema
Focus! #NoReformsNoElection#KatibaMpya
2025 ni mwaka wa kipekee - let’s see this through!