Helped Clients acquire 20 billion worth of contracts in the last 3 years across a wide range of sectors.Completed 200+ tenders with an 85% audited success rate.
@iamKaga I work with both Nationals and International companies as a Bid Consultant in helping them preparing winning bids, I can guarantee u a gud proposal can make u win a tender, kuna tender nyingi sana nimewafanyia wateja, na wamekua wakishinda bila kuwa na connection yoyote.
π’ Start Your Business the Smart Way!
We handle the paperwork β
You focus on the profits πΌ
π‘ From Registration to Licenses β Weβve Got You Covered!
π Call: +255 695 014 453
WhatsApp: +255 769 368 936
JUNAYD ENTERPRISES β Turning Your Ideas into Registered Success! π
As the Managing Director, I was overjoyed to celebrate the first marriage among our staff @Tenderbank_, a milestone that marks the growth of our Tenderbank family.
Congratulations to our General Manager π
Baba wa mbinguni, nakuomba neema na kibali chako viniongoze leo. Fungua milango ambayo hakuna mwanadamu atakayeweza kufungua, na unifanye nisimame mbele ya watu wakubwa. Nipatie ushindi katika kila changamoto nitayokutana nayo. Kwa jina la Yesu.
Amen
Internship Opportunity β Graphic Designer
Weβre looking for a talented graphic design intern! If youβre interested, kindly share 3-4 of your best designs down here or DM us.
We are taught not to burn bridges because we might need people later. But I pray I never have to depend on anyone who has hurt or humiliated me. May God bless me with abundance so I never have to be in that position.
Kazi imeendelea ktk jitihada zetu za kuimarisha mahusiano ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo ya vijana nchini.
Ushirikiano huu na @XHNews sio tu kwenye maendeleo ya vijana, bali pia unatuwezesha kujiunga na programu ya Pamoja ya Mawasiliano wa Kimataifa wa Kusini (Global South)
Earlier today we had a good session with ITV tukiongelea mchakato mzima wa Tendering katika sekta binafsi na serikali, na namna vijana wanaweza kuzikamatia fursa hizo.
@Tenderbank_#WinMoreBidLess
Hello my friends,
Siku ya leo Mungu asikupungukie wala kukuacha katika shughuli zako, masomo yako, afya yako hata familia yako.
Chochote kitakachosimama mbele yako kwa ajili ya kukurudisha nyuma au kukuvunja moyo. Mungu akutetee na kukupigania.
Ameen
Be Blessed β€οΈππΌ
@Fredtender Ameen na kwako pia. Ila nduguyangu sikuhizi hatupati story kutoka kwako ambazo ni verry productive kwetu. Pengine ratiba zako zimekubana, ila zinatusaidia sana sisi wengine. ππ»ππ»