@Alziilzala@lungwaJr@zed_ogtz@sapro_phyticus4 Na taa siyo hizi za 10k kushuka chini ni taa za pesa nyingi 40K mpaka 100K za fensi bado ndani ya fensi vyumbani huko ndiyo balaa unakutana na taa ya sitting room 800K na kuendekea๐
โNaomba niguse hiyo kitovu kwa 1M pleaseโ๐ ๐ ๐๐ฟ
Kama ilikua ni ball basi ile Dm ilikua ni historical and best first touch ever.
Tena ya Pro player kama Ronaldinho au Dimitar Berbatov, They always turning bad passes into magic.
Prime Lu hiyo time kidogo atuulie Gen Z humu.๐๐๐ฟ
Subira haina maana ya kukaa umezubaa,,, subira ni kuendelea kupambana huku ukiwa na amani mioyoni mwako kwamba wakati wako ukifika, hakuna mwanadamu atakayeweza kuzuia โ