Nimeambiwa Quality waliyoonesha TBC jana ni ya hali ya juu sana, hadi DSTV na Azam inabidi wakajifunze kwao nasikia hadi Wachambuzi wao walipendeza sana kuliko wachambuzi wa hizo DSTV na AZAM nyingine, mimi nilitamani kuangalia ila nilipata mashaka before ila leo nitaangalia.
@anuskills3 Ni basi tu kazi na michongo havipatikani kirahisi mtaani ila kiukweli mshahahara wa 600k ni mdogo sana. Hapo bado hujalipa kodi ya gheto , nauli, kula , na matumizi mengine madogo madogo . Labda hiyo kazi iwe na posho nyingine nyingine ila bila hivyo kupiga hatua inakua ngumu
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Wazee hivi ada ya Feza bei gani..?
Kijiweni hapa watu wanabishana ada ya Feza kuna mchizi anasema milioni 4.5 wakataka kumpiga wanamwambia ingekuwa hivyo watu wengi town wangesomesha watoto Feza ..😅
Muonekano wa Uwanja wa Klabu yetu ambao unatarajia kujengwa katika Makao Makuu ya Young Africans SC Jangwani kwenye eneo la Uwanja wa Kaunda ukitarajiwa kubeba mashabiki 15,000 hadi 18,000.
#MkutanoMkuuYASC2023#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko