Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Maulid Nabi. Tusherehekee kwa amani, upendo na mshikamano kama tulivyofundishwa na Mtume wetu (SAW). Kuzaliwa kwa Mtume kulete ari na wito mkubwa zaidi wa kuendelea kuijenga nchi yetu na kuinua ustawi wa jamii yetu.
@darmpya_@masoudkipanya Kwa sasa wizara ya afya ina hali mbaya san inapaswa msaada wa haraka zaidi , ina tegemea nguzo ili kuweza kuendelea kustawi na pia nguzo hiyo si imara kwahy kilicho baki ni kuanguka tu hakuna kingine