Nakumbuka Baada ya kumaliza form 6, nikajikaza kwenda kureport kambi moja kule songea, kama mnavyojua " mujibu wa sheria"..
Tukareport , picha linaanza tumelala saa 6 saa 7 tunaambiwa kumekucha,. Unajiuliza kumekucha vipi na hili giza, wanasema hilo giza ndio kukucha kwenyewe,..
Bhasi bhana kati ya tulioreport alikuwepo jamaa ana kichwa kirefu, hakuwa mlemavu ila alikuwa na kichogo kirefu,..wakawa kila muda wanampiga makofi , wanamwambia wanataka wamuue ili asije akaendeleza kizazi chake😂���,.. jamaa mwisho akatoroka usiku sana ..
@MkulimaKante Tulikua uboyzini pale songea uo mwaka ulikua ni ugali ndondo daily, siku likipikwa punga ni balaaa nakumbuka tuliwai kufunga kwasababu msosi ulikata