Youth needs Digital skills early so that they can use for future use and become young innovators using digital solution.
Airtel and Dtbi provide a chance for youth to get digital skills under Airtel fursa lab.
#Airtel#Dtbi
Airtel na Dtbi wanawaharika vijana wote waliomaliza kidato cha nne na wengine wote zaidi wanawake wanapewa kipaumbele kushiriki mafunzo haya, na mafunzo yataanza tarehe 2/12/2019.Tembelea tovuti hii, https://t.co/Zstg3w03eg kujisajili au piga simu namba 0682 444 449 kwa maelezo
Airtel na Dtbi wanatoa fursa ya kujifunza masomo ya KOMPYUTA , UBUNIFU NA UJASILIAMALI kwa watu wote na vijana. Mafunzo haya yataanza rasmi siku ya jumatatu ya tarehe 7/102019 kwa muda wa wiki nne kila siku kuanzia jumatatu mpaka ijumaa. Fursa hii siyo ya kukosa a , Jisajili saa.
Teknolojia imekuwa na msaada mkubwa kwa makundi mbali mbali ya vijana na wajasiliamali katika shughuli zao, Airtel na Dtbi wanaendelea kuwawezesha vijana zaidi kutumia kompyuta katika shughuli zao. Kuweza kushiriki mafunzo haya piga simu 0682444449
#AirtelDtbifursa lab
Mafunzo Kompyuta , ujasiliamali na ubunifu kwa vijana na wajasiliamali wote kupitia Airtel fursa lab iliyopo kijitonyama shule ya msingi. Karibu ujisajili kupata mafunzo haya na kwa maelezo zaidi piga simu 0682444449.
#airtel#Dtbi wanakuwezesha
Wahitimu wetu
Wajasiliamali wanahitaji kujifunza namna ya kutumia teknolojia kwa ufasaha ili waweze kutumia katika shughuli zao za kibiashara ikiwamo kutumia namna ya kidigitali kuhifadhi kumbukumbu na kutumia teknolojia kukuza biashara zao ikiwamo mitandao ya kijamii.
Kujifunza TEHAM kwa wanafunzi ni kitu muhimu kwa Dunia ya sasa ambayo imejaa mambo ya Teknolojia , hii itawajenga vijana hawa wadogo kutumia teknolojia kutatua changamoto mbali mbali katika jamii.
Airtel fursa lab inakuwezesha kumjenga katika mambo ya kompyuta
Kids need to be inspired since they are young so that they can learn technology in simple way and use it in future plan. Airtel fursa lab provide a opportunity for the kids to learn technology since they are young , welcome Airtle fursa lab to discover your potential.
Do have business idea ??
And you want to learn how to design a creative logo design fron your idea ,welcome airtel fursa lab this saturday .
Logo design and Tshirt printing
Teknolojia imekuwa na msaada mkubwa katika kutatua changamoto mbali mbali katika jamii. Msajili mtoto wako kwa kutuma jina kamili , shule na umri aweze kujisajili kujifunza juu ya kutengeneza programu za kiubunifu.
Airtel Fursa lab inakuwezesha .
Piga simu 0682444449.
Airtel and Dtbi under Fursa Lab pressents to you
COMPUTER SKILLS WORKSHOP
Apply to participate the next coming workshop at Airtel Fursa lab Kijitonyama school
This Saturday 14th September 2019.