Pole sana kwa kusikitika,content haina hata dhihaka(labda angle uliyoamua kuichukua) coz ni kweli mlilalamika kuna wana habari wanavizia maandamano kabla ya watu( ni ujumbe tumefikisha), maswali magumu kama sukari na ukosefu wa maji kupewa majibu mepesi(ni ujumbe umefika), sisiemu kusema idadi ya waandamanaji ni ndogo (ni ujumbe tumefukisha) then sisi sio wanasiasa (ndo maana hii content ina mapokeo ya makundi mawili ya CDM na CCM) tunafanya creativity kulingana na yanayoendelea kwenye jamii suala la mapokeo ni la tunayemfikishia.
This morning, the realm of DeFi and crypto was jolted by an unfortunate incident involving the decentralized #OpenseaHack exchange Opensea. #OpenseaExploit#OpenseaBreach