Mm huyo musichana alikua ananipikia omena mangai ilikuwa inaslap Kwa namna atari hungekataa,alikua anapika kando yake ugali nyeupe kama theluji,kidogo anaweka masiwa ndio supu iwe thick,Kisha ananiita Kwa sink ananiosha mkono alafu ananiumisha,siet, I miss her🥲
Who will save drugs from you....nimeenda kutasama morio wangu hapo Maseno university napata macho ni nyekundu mithili ya kundule buana..mangai am disgusted 🚮