Napenda kuchukua nafasi hii leo,kukupingeza kwa mema na mazuri uliyotundea waTz hasa kwa kuwaona wasichana na kuwapa shule nzuri! Pia nikutakie heri ya siku yako ya kuzaliwa Mh Raisa @SuluhuSamia Pia nampongeza @chiefgodlove1 kwa kuzidi kutuinua kiuchumi