Heche hajakosea! Huwezi Kwenda hata kuposa mwanamke wanakuuliza kazi yako ni ipo ukasema tena kwa confidence kwamba NAJISHUGHULISHA NA UBASHIRI (Betting)
Leo nimelala sana , kwani nilikuwa nimechoka sana , nimeamka nimesali nikaanza kusoma baadhi ya meseji ktk groups za friends , nikaona watu wanaandika Heche kaongea vizuri sana , Heche kaongea vizuri , nikasema moyoni nilijua Heche hawezi ongea vibaya , lakini bado sijamsikiliza , anyway ngoja niamke nipike maana nina wageni wanakuja hapa home leo , lakini sio wajumbe , then nimsikilize Heche.
Tuna taasisi ya kuilinda, tuna Nchi ya kutetea, tuna Watanzania wa kupigania. Chadema ikifa madhara yake ni makubwa mno kwa Nchi yetu..
Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi.
Luka 8:17-18
Kila jambo lililofichwa litawekwa wazi na kila siri itajulikana na kila mtu ataiona. Hivyo yatafakarini kwa umakini yale mnayosikia. Watu wenye uelewa kiasi watapokea zaidi. Lakini wale wasio na uelewa watapoteza hata ule wanaodhani kuwa wanao.”
Nimekutafuta kwa simu bila mafanikio. Juzi nlikuwa usingizini nikaota kuwa nikuambie kama una mpango wowote mbaya dhidi yangu acha mara moja. Acha mara moja. Haitakuwa rahisi. Ndoto ikakata. Bonifasi Jacob (Yai ) anakusalimu.