I'mma have to start going to church again wallahi passed by this church rn and I seen only straight 10's coming out of the service. next Sunday I'm not missing their service idc how late I sleep on Saturday imma be there
Kijana ukitaka kufanya kitu wewe fanya.
Unaogopa nini sasa kusema tu ukweli??kama ni kukataliwa, kila mtu amekua rejected.
Kama ni kusota, kila mtu amewahi kusota, kama ni kufail, kila mtu amefail at somepoint, kama ni watu kuongea, wataongea na yatapita, Do it shamelessly..๐๐ฝ
Madem wengi hata wale ambao ni wasomi hawana depth ya content kuhusu issues nyingi, it seems wanaconsume sana hizi content za udaku na celebrities! Unapoanza kusungumzia issues ambazo ni serious, kunakuwa na gap kubwa sana na articulation yao ya mambo ni ya chini sana.
MATOKEO: Unachukua rimoti ya maisha yako mkononi.
10/ HITIMISHO:
Hujalogwa na jirani; umelogwa na IMANI YAKO.
Kitu kinachokuumiza siyo 'Mkosi' wenyewe, bali ni ile imani kwamba wewe ni mtu wa mikosi.
Mtazamo wako ndio mchawi wako mkuu.
Safisha akili kabla hujasafisha nyota.