@TunduALissu Yani na ubishi wako wote huo unakubali kudanganywa? Sikuamini tena kama wewe ni wakili hata unashindwa kutafuta ushahidi kujua yesu alizaliwa lini?
@HermanMashaba change ur mind mashaba , one day you will be president of South Africa, I don’t know how you put your face they way you doing now for your African brothers. Use wise to explain this challenge not to hate African brothers. You will face isolation in AU later.
@NBCTanzania Naomba kuuliza je kwa Walio nje ya nchi wanaruhusiwa kufungua akaunti ya kikundi ili waweze kutumia pesa zao huko huko walipo? Kama ndio makato yao ya kuweka na kutoa yanakuwaje?
Tunakodisha ardhi kwa matumizi yoyote uyatakayo. Tupo éneo la Nzuguni area a mita 30 kutoka Barabara kuu iendayo hombolo. Dodoma tanzania sio Mbali na Barabara kuu iendayo dar és Salam na Morogoro. WhatsApp +27735408172
Tunakodisha ardhi kwa matumizi yafuatayo . Parking area , biashara, kuhifadhi bidhaa, ujenzi wa ware house , kufundishia udereva wa Magari , mikutano, kambi za michezo, karibuni. Éneo Letu liko Nzuguni área a
Mita 30 kutoka Barabara kuu ya kwenda homboro.Dodoma +27735408172