@Benji_Fernandes Ilikuwa siku yenye furaha ya kipekee sana nashindwa kuelezea kwa maneno mazuri, Mungu atujalie afya njema na tuzidi kuwa na mafanikio makubwa🙏
@AMahimbwa Hayo yote ni changamoto ya maisha ila ukifanya maamuzi ya kufanya jambo kama hilo unapaswa kuthubutu na kulitekeleza ndo utapata chachu ya utafutaji na mwishowe hautaona ugumu wowote.