Life is hard and it gets worse and worse and worse. Life is hard enough. Life is always going to be hard, so you need to push for what you want. #NJIWAPORI🦅
Baada ya kusikia amri ya kupiga risasi, ikmfunukia mzee Zakaria kuwa wale watu pale hawako kwenye rehearsal bali wako kwenye performance.
Ni wakati huu wapiga kura walikuwa wanawasili pale kwa basi lake kutoka Bunda.
Why mabomu ya machozi hospitalini?
Mzee anapiga yowe anatoka SAMUEL CHOMETE. Inakuwa ni balaa
Baada ya SAMUEL CHOMETE kutoka na kushuhudia tata Zakaria akiwa amekwidwa, mmoja wa wanausalama wale anatoa amri “piga risasi huyo!”
Saa 2:30 usiku mzee anaanza kutoka, kwenye ile gari wanashuka watu wawili AHMED SEGULE na ISAACK BWIRE.
Garini wanawaacha wenzao watatu
Haraka wanamkwida mzee na kumvutia kwenye gari yao.
Muda huo Mzee Zakaria alikuwa zake ofisini akipokea hesabu za siku hiyo
Baada ya hesabu, Mzee yule akabaki akiangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku
Huku nje, Ile gari ilipaki tu bila yeyote kushuka.
Charles Ndesi Mbusiro ni mwanachama wa Chadema na ameshawahi kuwa diwani wa Turwa katika Halmashauri ya mji tarime.
Nia na kikosi kazi kutumia namba ya kada wa Chadema haikuweza kujulikana kwa wakati ule (Nitafafanua)
Siku ya tukio JUNE 29 2018 TARIME
Hii ni siku ya tatu ya surveillance
Saa 1.30 usiku inaonekana gari yenye namba za usajili 245 CTW
Gari hii ni ilele iliyokuwa ikijifanya kutengenezwa siku mbili kabla
Mbaya zaidi namba zile zilikuwa ni za CHARLES NDESI MBUSIRO
“Kwa siku tatu mfululizo nililishuhudia gari lililohusika katika tukio likiwa limeegeshwa nyuma ya kituo cha mafuta cha Zakaria wakijifanya kulifanyia matengenezo, hii inaonyesha walikuwa kwenye mtego kufuatilia nyendo za Zakaria.”
Mwisho wa kunukuu
Kuhusu huonekana gari ile kwa siku tatu ikimyatia Zakaria naomba nimnukuu BASHIRI SELEMANI ambaye ni Mwenyekiti wa mtaa wa Starehe kilipo kituo hicho.
Pia huyu shuhuda ni mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime 👇
Walitaka kwanza kumnyakua akiwa kwenye msiba wa mama wa Mbunge wa Rorya LAMECK AIRO
Lakini Inaonekana Zakaria naye alikuwa na infomers wake hivyo hakwenda msibani
Kwa mujibu wa “informer” Inaonekana Zakaria alishachoshwa na blackmails na akaacha kucomply na matakwa ya kikosi kazi
Sasa Zakaria akawa ameshaanza kuwa under surveillance ili “anyakuliwe” na Jehova Wanyonyi
June 27 2018 Inaonekana gari ikiwa imeegeshwa nyuma ya kituo cha mafuta cha Zakaria katika Mtaa wa starehe mjini Tarime
Watu kutoka kwenye gari ile wanashuka na kujifanya wanaifanyia matengenezo
Tukio hili linajirudia tena kesho kesho yake
Kwa nini?
So, Mfanyabiashara PETER ZAKARIA ambaye ni mmiliki wa mabasi yaendayo kati ya Mwanza, Tarime, Serengeti na Simiyu akawa “blackmailed” kwa kufilisi chama cha ushirika Nyanza
Wazee kwa Kazi maalum, Wakawa wanaenda kujipatia pesa kutoka kwa Zakaria kwa kumtisha kuwa muda wowote naye atakuwa ndani
Kwa wanaomjua PETER ZAKARIA naye huwa ni mtu mtatamtata na siandiki hapa kumsafisha.
Yumkini pia unakumbuka tukio la maafisa usalama wawili kutwangwa risasi mkoni tarime na mfanyabiashara huyu Peter Zakaria
Kabla ya tukio hili mke wa Zakaria alikuwa anasota mahabusu BUTIMBA kwa uhujumu uchumi kupitia kumiliki mali hizi.
Mali hizi zote, zilinunuliwa na familia ya Peter Zakaria kihalali tangu mwaka 2002 kutoka Nyanza Cooperative Union
Anayeonekana kwenye Nyaraka za ununuzi ni mke wa Zakaria ANTHONIO ZAKARIA
Kwa wenyeji wa Mwanza naamini mnakijua kituo cha mafuta cha kinachotazamana na Jengo la Kitegauchumi cha Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Barabara ya Kenyatta jijini Mwanza.
Naamini pia mnaijua nyumba ya NCU ambayo kwa sasa kuna Benki ya CBA (Commercial Bank of Africa),
DAMU ZINAWALILIA, HAMTASIMAMA ASILANI
Damu za mnaotumia jasho lao kutunza familia zenu Ubelgiji na Canada,
Damu za mliowatoa uhai na kusingizia dola ili uwe mtaji wenu kisiasa,
Damu za mliowatumia kufanya mahoka bila kuwalinda wakapotea,
Damu za vijana mnaowageuza mtaji mpate fedha za harakati toka Ulaya kwa manufaa yenu wenyewe.
Damu huleta wazimu,
Hivi sasa mwaugua wazimu.
Hamponi asilani.
Hakika, wanaume, tuvunje ukimya sasa, ni wakati wa kuamka na kuona nini tunafanya kujiokoa wenyewe na changamoto ambazo hazina ulazima zinazopelekea mahusiano ya kijinsia yasiyo na afya @Veriafya ahsante Sana 🙌🙌🙌
TRENI LA ODDS 68 🔥
nimezichambua Tangu jana izi apa Zimenyooka Haswa mchawi labda uwe wewe🔥🙌
Nataka Tujaribu sote Ila Retweet Ii post Kisha COMMENT code apo chini Nikutumie ii Code DM 👊🏻🔥