π¨ It is estimated that 1.7 million people attended Simba SCβs trophy parade in Dar es Salaam today. πΉπΏ
Beating the Yanga record of 1 million fans yesterday.
Incredible scenes across the city as football celebrations take over Tanzania. π¦
#AfricanFootball#NguvuMoja#Simba #TanzaniaFootball
Baada Ya SIMBA π¦ Kushinda Jana Kwa Bao 4 Bhasi Maombi Na Dua Ni Kwa Azam Vs Yanga... Najua Yanga Atashinda Kwa Bao 1 Bilaaa Ilaa Fainali Tutamkaanga Bao 1 Na Hilo Bao Atafunga Elie Mpanzu.....
#SaveIt
@RevocatusMagum1 Kaka acha hivo, mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe.
Chama amefanikiwa kukomba MOM kwa mara nyingi zaidi kuliko wengine akiwemo Okello, ila kaachwa kwa takwimu muhimu za magoli na assists. Aliyeshinda kastahili apewe kongole kwakweli
@BracuszCadabra Kaka kwemaa? ...naomba nisaidwe jambo hapa, ni app gani ambayo inweza nisaidia kupata takwimu nyingi zaidi za Ligi Kuu Tanzania bara???
@RevocatusMagum1 Nafikiri wanasiasa wanapaswa kuacha sector ya michezo ijiendeshe kwa uhuru wake ila wakitaka kuwapa support ya kuwawezesha wafanye hivyo, kuhusu hatma ya watoto wetu wale, wawaachie watu wanaohusika na michezo. Juhudi zao zitawapa matokeo mazuri
@RevocatusMagum1 Siku zote siasa zikishaingilia michezo na michezo nayo inakuwa ya kisiasa tu. Nafikiri kwa kawaida nature itaamua hatma ya kila mchezaji chipukizi. Akina Leo Messi hawakuinuliwa kisiasa bali vipaji vyao na huyo mwamba alipoibukia Catalonia alikuwa anakaa bench anaingia jioni...
π¨πKoulibaly :
I will never forget that day. In the tunnel before the match, I shyly asked Leo if we could swap shirts later. He smiled gently and said "OK" But after the final whistle, the pitch was so crowded, and Leo quickly went inside. I went back to our dressing room feeling a bit sad, thinking: 'He is a massive superstar, he probably just forgot about me
Suddenly, the door to our dressing room opened, and everyone went completely quiet. It was Messi. He walked straight up to me, handed me his shirt, gave me a warm hug,Then he smiled and walked away. The greatest player in the world came all the way to our dressing room just to keep a simple promise to me. That is pure class
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania, leo Mei 22 2026 umeeleza kuwa Serikali ya Marekani imemuwekea vikwazo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (SACP), Faustine Jackson Mafwele, kwa madai ya kuhusika katika ukiukaji mkubwa wa haki za Binadamu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, Marekani imesema inazo taarifa za kuaminika zinazomuhusisha Mafwele na vitendo vya ukandamizaji pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu.
Aidha, Washington imesema uamuzi huo umetokana na taarifa za uchunguzi zinazohusiana na matukio ya mwaka 2025, ambapo Wanaharakati Agather Atuhaire wa Uganda pamoja na Boniface Mwangi wa Kenya walidai kutekwa, kushikiliwa na kufanyiwa vitendo vya ukatili walipokuwa Tanzania kufuatilia kesi ya Kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.
Kutokana na hatua hiyo, Marekani imesema vikwazo hivyo ni sehemu ya juhudi zake za kuwawajibisha Watu wanaotuhumiwa kukandamiza haki za msingi za Wananchi ambapo chini ya vikwazo hivyo Mafwele hatoruhusiwa kuingia Marekani.
#MillardAyoUPDATES