Eti, mtu anayeogopa kutumia jina lake kwenye Twitter anitukane mie kwa sababu anataka nisema SSH is EVIL!
😂😂😂😂
Tumia jina lako kamili kama wewe ni MWANAUME JASIRI!
@MariaSTsehai@jerry_spana @RamadhanKayoko @Hamadbakari2@SuluhuSamia Pia wewe ni mjinga mmoja wao, unataka watu wasikukosoe ila wewe kukosoa watu ni halali sio! Watu wameelimika, pambana na hawa first year na wajinga wasiopima mambo
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Mmeandika historia na kuipa nchi yetu heshima kubwa sana. Nawatakia kila la kheri katika mchezo wenu wa Fainali.