@godbless_lema Biashara hiii ina muda sana toka imeanza haikuleta effect yeyote acha masihara kama we unakaz ambayo haiatarish maisha shukuru mungu hao sio kama wanapenda kufanya kaz ya kuatarisha maisha kila siku wanagongwa na magar huko barabaran kisa kufanya kaz zinazohatarisha maisha