Muungano wa vyama vya upinzani nchini Burundi umetahadharisha kwamba uhaba mkubwa wa mafuta unaoikumba nchi hiyo utaathiri uchaguzi ujao wa Bunge unaotarajiwa kufanyika mnamo Juni 5 mwaka huu.
The wait is finally over! Beautiful Friday has arrived, and the excitement is buzzing! 🎉 THE COUPLE S01E05 PART B is on air right now—don’t miss out, go check it out!
Muda wa kusubiri umetosha,Ijumaa njema kabisa imetufikia.
Kipindi cha THE COUPLE S01E05 kipo hewani kwa sasa.
Justin Bieber hatimaye ameuvunja ukimya huku mashabiki wake wakizidi kuwa na wasiwasi kuhusu hali yake ya kiafya.
Mwimbaji wa wimbo Baby, mwenye umri wa miaka 31, alishare ujumbe wa kuhuzunisha alikiri kuhisi “kama tapeli” na “kutostahili” katika siku nyingi za maisha yake.
WATU WAWILI WATHIBIKA KUWA NA UGONJWA WA MPOX NCHINI
Watu wawili (2) wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox nchini Tanzania.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama kwenye taarifa kwa umma aliyoitoa leo Machi 10, 2025.