Tanzania's Enhancing and advocating for Gender equality, justice and equal opportunities to girls and women in all sustainable development process organization.
Last week, on 30th January 2026, Legal and Human Rights Centre (LHRC) hosted delegates from the Netherlands Embassy in Tanzania. The delegation was led by Mr. Vere Werlotte, Tanzania Desk Officer based in The Hague, alongside Ms. Chikulupi Kasaka, Political Affairs Officer.
The discussions focused on LHRC’s 30 years of work in promoting and protecting human rights in Tanzania since 1995, as well as the current political and human rights context in the country.
The Netherlands Embassy commended LHRC for its longstanding commitment to human rights and reaffirmed its willingness to continue supporting and strengthening collaboration in advancing the promotion and protection of human rights in Tanzania.
🤝🇹🇿🇳🇱
#HumanRights #LHRC #NetherlandsEmbassy #HumanRightsDefenders #CivicSpace #Tanzania
I’m happy Iranians are being seen by the world and getting the support they deserve but meeeeein this just goes to show that African lives do not matter at all and nobody cares about Africans.
Over 10,000 Tanzanians were massacred on October 29 2025 during a 5 day internet shut down (scroll down this page for videos) and not a single protest in any country. All we have gotten so far are statements from the EU and US State Department😭😭😭
There is literally no difference between the brutal CCM regime in Tanzania and the brutal Islamic Republic in Iran so Where are the protests for murdered Tanzanians?
LHRC is closely monitoring the reportedly ongoing human rights violations in Tanzania, including the abduction and enforced disappearance of civilians.
Recently, LHRC received news of the alleged abduction of an opposition leader in Mwanza by unidentified individuals.
LHRC strongly condemns this act and demands the immediate and unconditional release of all those who are illegally and unlawfully detained, contrary to the Constitution. In cases where charges are brought against them, they should be brought before a court of law and given an opportunity for a fair trial, including the right to defend themselves.
Issued by Legal and Human Rights Centre.
[email protected]
LHRC inaendelea kufuatilia kwa karibu kuendelea kwa vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu, ikiwemo vitendo vya utekaji na kupotea kwa watu.
Hivi karibuni, LHRC imepokea taarifa za kudaiwa kutekwa kwa mmoja wa viongozi wa upinzani mkoani Mwanza na watu wasiojulikana.
LHRC inalaani na kutoa wito kwa mamlaka zinazohusika kuwachilia watu wanaoshikiliwa kinyume cha sheria na Katiba bila masharti yoyote. Ikiwa kuna tuhuma zinazowakabili, basi wafikishwe mahakamani na kupewa fursa ya kujitetea kwa mujibu wa sheria.
Imetolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu.
[email protected]
#Tuongeenao
Vijana wa jinsi zote tunaongea nao juu ya haki yao ya elimu, kujielimisha na kuelimika Sawa na lengo namba 4 la maendeleo endelevu ya Dunia, #SDGs ila pia tunawatoa utatani juu ya lengo namba 5 la USAWA WA KIJINSIA.
Waelewa kuwa ni usawa wa KIJINSIA sio wa KIJINSI
Kuelekea 2030,
Tuna elimisha jamii juu ya USAWA WA KIJINSIA, lengo namba 5 kati ya malengo 17 ya maendeleo endelevu.
Elimu imelenga kuondoa mkanganyiko wa uelewa uliopo miongoni mwa wana jamii juu ya USAWA WA KIJINSIA.
#usawawakijinsia
Mambo yanasikitisha na kuumiza sana.
Kuna sehemu thamani ya mwanamke na mtoto ni ndogo sana kulinganisha hata na mifugo.
Tunakemea vikali vitendo vyote vya UKATILI kwa wanawake na watoto.
My happiness for my community from the local context to the national level is to achieve gender equality in a safe environment. In achieve that happiness, I have been providing education, legal support and legal education on gender equality as a way to oppose gender violence (GBV
Kuelekea siku ya DEMOKRASIA
Ni mhimu kujikumbusha maana yake halisi.
Hasa kwa kuzingatia maneno ya Mkongwe US Former President Abraham Lincoln
Kuwa "Ni viongozi/serikali ya watu, kwa matwaka ya watu na inayopatikana kwa kuchaguliwa na watu."
Habari wadau wa haki za binadamu, maendeleo na uongozi.
Karibuni tujifunze pamoja juu ya msingi wa DEMOKRASIA hasa faida zake katika nyanja zote katika kuelekea Dunia yenye Usawa wa kijinsia na maendeleo.
Ninawaalika nyote kwenye space 14 Spt .
Katika kufikia usawa katika frusa za siasa, hasa wanawake wengi kugombea. MGOMBEA BINAFSI ni nyenzo mhimu sana.
Itatoa uwanda mpana wa kugombea kwa yeyote hasa wanawake wanaokutana na mfumo dume na ukatili wa kijinsia ndani ya vyama.
Hivyo, ni mhimu kuzingatia wito huu.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu #LHRC kimeandaa #dodoso hili ili kujua uelewa wa #wananchi na #mtazamo wao kuhusu mchakato wa kupata #KatibaMpya. Tunatazamia kupata maoni yatayosaidia kuboresha kuelekea mchakato kupata katiba mpya. Bonyeza https://t.co/0xDw3F1gLA kujisajili
KUELEKEA SIKU YA DEMOKRASIA DUNIANI:
#DemocracyDay#DemocracyMonth#SikuYaDemokrasiaDuniani@GdfTanzania tunatamani kuona wanawake wakijiamini kutoa maoni yao kuanzia ngazi ya Familia na ngazi zote za maamuzi.
Na mawazo yao yakapokelewa, yakaheshimiwa na kupimwa kwa hoja.
Gender Focus development, @GdfTanzania
Kwa Sasa ulimwengu ni digital (digital world), usawa kijinsia wa kufurahia ndio msingi mkubwa.
Tunaungana na @ZainaFoundation na wadau wote ili kuhakikisha wanawake na mabinti wanafurahia #digitalrights na #beonline
Shabaha yetu kubwa ni uwezeahaji wa mabinti na wanawake ili kuwakwamua na mifumo gandamizi inayowanyima kufurahia frusa za meandeleo.
Kufikia jamii yenye usawa ndio kiu yetu.