#FlashbackZone#FBZJ4
VITA YA MUDA MFUPI KUWAHI KUTOKEA
Leo nakusogezea hii kutoka History Vid
Vita vifupi zaidi vilivyorekodiwa katika historia vilitokea kati ya Uingereza na Zanzibar mnamo Agosti 27, 1896. Vita hivyo vilidumu takriban dakika arobaini, ambapo Uingereza .
@HecheJohn Usikute wanavuta muda Ili tume ije na report ya kuituhumu CDM Alafu TAL Akishinda wamkamate tena kwa kosa litakalosemwa na tume, wao hawajali hata kama hawana kesi ya msingi muhimu ni akae ndani.
Maoni yangu msimsubiri TAL, pigeni kazi chaka to chaka kusipoe, watatema tonge
#FlashbackZonebibleverse
BIKIRA ILIVYOANGAMIZA JAMII NZIMA KWA VITA YENYE AKILI KUBWA KUTOKA KWA MASHEMEJI
UZI👇
Leo nakusogezea hii flashback ambayo kifupi inatuonyesha vile hawa warembo walivyo na nguvu katika love, lakini pia Vita ina mbinu nyingi za ushindi tiririka
I have a friend who’s now a judge, and every time someone says “Your Honor,” I almost lose it 😂
If they only knew the wild stories from his past!
But hey… that’s history.
Nobody lives in their past.
I have a friend who became a Judge but whenever I see they calling him Your honor I can’t stop laughing
The crazy things you know about him 😂.
Well that is his past
No body lives in their past
@HildaNewton21 Unaemzungumzia utawala wake waliingia uchaguzi na kuvunja record kuwa na wabunge wengi, kura nyingi zaidi Urais zimeleta, ruzuku unayoisema leo, vipi huyu wako Sasa hivi? mtamaliza mi5 ya uongozi wenu bila ruzuku, respect elders politician young lady usinene ukamara hii dunia
@YerickoNyerereT Hayo ndio mambo niliyoyasema majuzi kuwa CHADEMA imesahau lengo lake Kuu, na Sasa wanamsaidia Maria na genge lake kutimiza lengo la change Tanzania. In short maria ameipora CHADEMA kufanya kazi zake halafu Siku hii ndoa ikifa ndio watazinduka washachelewa.
@PresenterNoah Nachomkubali @Geoffrey87Lea ana ile solidarity kwa wenzake, yaani ukiwa mfanyakazi mwenzake haijalishi Nini mwana anakuwa upande wako against enemies. Mi nachojua hata Hancy leo akitaka support ya jambo lake utamwona mwana anasimama mbele ndio alivyo 😀😀