Saa chache kabla ya kuanza kwa safari ya kwanza ya ndege kati ya Dar es Salaam na Guangzhou nchini China, Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha chanzo kikitajwa kuwa ni ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona. https://t.co/zQM6DHxlrm
Ndugu Kunenge (RC-Dar) hebu tunaomba udadavue kidogo, unamaanisha nini kusema HAKUNA SHEREHE yeyote for 21 days?
As watu WASIZALIWE, WASIOE, WASIFE au?! Maana tuliolelewa kikristro hizo ndio sherehe 3 za mwanadamu. ๐คท๐พโโ๏ธ
Unataka kufunga bar tusilewe?! Tusi sherehekee JPM's life?
๐๐ Watu Kinondoni wameulizwa โuna neno gani la kumwambia Kocha wa Taifa Stars Alex Ferguson baada ya ushindi wa juzi?โ ๐๐ nani hapo ndio kaharibu kabisa? (๐น #dwkiswahili )
@azamtvtz@YouTube Azam mnazingua yani kil siku naona chenga tu kama silipii bwana? Hela nitoe bado tabu nipate nikiwapigia simu zenu zenyewe hazipokelewi ๐คฌ๐คฌ๐คฌ