πβ¨ GEITA EXPRESS β SAFARI ZA KIFAHARI BEI POA! π£οΈ
Geita β‘οΈ Kahama 15,000
Geita β‘οΈ Dodoma 60,000
Geita β‘οΈ Morogoro 65,000
Geita β‘οΈ Dar 75,000
π₯ FREE WiFi, MAJI & SODA kila safari! π₯€π¨
π Huduma bora, bei rafiki, safari za uhakika kila siku!
#GeitaExpress
Photo by @Gomajr41
#Geita iko kwenye mikono salama π₯
Zhongtong MEGA WATTS π₯
Hizi zitahakikisha Geita hakuna mgao wa umeme.
Tag:
#Kalangalala(Kata/Mtaa mkongwe zaidi mkoani Geita)
#Katoro(Mji wa Kibiashara)
πΈ@kingkeke_12
Kesho tarehe 17/09 ni moto wa maonesho Geita! π₯ Viwanja vya Maonesho vya Dkt. Samia Suluhu Hassan vipo tayari kukusubiri. Karibu tuoneshe ubunifu, biashara na fursa mpya! #Geita#Maonesho2025
Cc @TBoundBuses
Photo by @Gomajr41
π Hakuna kulala njiani, hakuna wasiwasi wa muda β tunakufikisha salama ukiwa umetulia.
π Ndani kuna viti vya kisasa, upepo wa kutosha, muziki na TV kukupa burudani njiani.
π Weka nafasi yako mapema na ufurahie safari isiyo na usumbufu.
πΉ Geita β Dar β Geita, kila siku