Social Work Expert|| Having Worked in interdisciplinary teams of Social Workers | Research Consultant||Public Speaker| Parenting and Child Development Experts||
#FromMyInspiration#SirChiko
"If you're looking for a career with meaning, action,diversity, satisfaction, and a variety of options, consider Social Work"
@kura_yetu Kuna Vitu vingi Nimeona Vijana haswa Wanawake Wanatakiwa Kujifunza Kutoka Kwako. Je umejiandaaje Katika Kuwasaidia na wao Kuweza kufika Malengo yao.
@kura_yetu @PetriderPaul Imekuwa ni changamoto Kwa Wanawake Wengi Kushiriki maswala Kama haya. Lakini Kwako imekuwa tofauti. Je? Misukumo gani haswa inayokupa Nguvu Wewe Kama Kiongozi Mwanamke Kuhamasisha Vijana kugombea Katika nafasi za serikali