Siku tutakapoacha kusema, “Anafanya vizuri licha ya ulemavu wake,” na kuanza kusema, “Amefanikiwa kwa sababu alipata fursa sawa,” ndipo tutajua tumeelewa maana ya usawa.
Tatizo si uwezo, bali fursa.
#UlemavuSioKizuizi@TAMWA_Zanzibar
Jamii ikimlazimisha mtu mwenye ulemavu kutumia nguvu mara mbili kupata haki ile ile, halafu ikamwita “shujaa”, mara nyingi tunakuwa tumeficha kushindwa kwa mfumo wetu. Tusisifie uvumilivu,turekebishe vizuizi.
#UlemavuSioKizuizi@TAMWA_Zanzibar
@MarekaMalili Kusubiri kunachosha tuzidi kumuomba Mungu kaka shida zinasumbua sana kuna muda hukuwa na uhakika wa 5k now unao lakini haitoshi kumove sio easy ndipo kwenye kutaka kuruka sasa badala ya kujipongeza na hatua hiyo muda nao ndio hivyo
Mwananchi anapokosa maji karibu na makazi yake, gharama hulipwa kwa muda, fedha na fursa za maendeleo. Mara nyingi wanawake na watoto ndio hubeba mzigo mkubwa zaidi wa kutafuta maji kila siku.
#RaiaMakini@policy_F@InstituteWajibu
Familia ndiyo shule ya kwanza ya uongozi.
Tunapowafundisha watoto wa kike kujiamini na kuwajibika, tunajenga viongozi wa kesho. #MwanamkeNiKiongozi@TAMWA_Zanzibar
Kuna na namna Tamisemi imewapa vijana fursa ya kutajirika kupitia Ajira za vijijini .Fikiria ,
Ardhi ya bei nafuu.
Nafasi ya kufuga.
Nafasi ya kulima.
Mazao ya kununua na kuuza.
Kuna binti mmoja kupitia kufuga nyuki anauza asali hadi S.A kwa mwezi anaficha zaidi ya 30M.
Kama Kwenu Mna Kaka Ameoa na Bado anaendelea Kuwasaidia Ndugu zake na Wazazi Wanapata Huduma zote toka kwake ,Basi Mnapaswa Kumuheshimu sana Mke wa Kaka Enu ,na Msiache Kumuombea Baraka....🤝
Wabongo wengi wanashida kwenye mindset.
Mtu unampa ushauri wa biashara anakuambia mbona wewe sio tajiri kuliko Mo?
Mo akitoa ushauri wa biashara anamwambia "Mali zenyewe umerithi"
😁😁😁
Usimwangalie mtu mwenye ulemavu kwa macho ya huruma pekee.
Mwangalie kama mwanafunzi,mfanyabiashara,mzazi, mwenye ndoto inayotaka nafasi ya kuchanua.
Jamii yenye utu ni ile inayojenga njia,si ile inayosimama pembeni kushangaa watu wakikwama.
#UlemavuSioKizuizi@TAMWA_Zanzibar
Kuna mtoto anayesikia maneno “huwezi” kila siku.
Lakini siku jamii itakaposema “tutakusaidia uweze”, historia yake itabadilika.
Wajibu wetu si kuhesabu mapungufu ya watu wenye ulemavu, ni kuondoa vizuizi vinavyowazuia kuonyesha uwezo wao.
#UlemavuSioKizuizi@TAMWA_Zanzibar