Kuna hii tabia ya @Tigo_TZ kututumia sms nyingi sana zisizo na mpangilio na wala mtu unakuta hata huzihitaji zinakera sana,15572,15633,15082,Ofa nene,ofa kabambe,Ongea zaidi, Hebu fikiria sms kutoka namba zote hizo na sms zinajirudia hata mara 5 kwa siku.Its boring
cc @TCRA_Tz
@Zephania_Ndaki @rollymsouth Katika miaka aliyokuwa madarakani kwa hakutekeleza UTU? nani atalipa gharama za UTU uliopotea? na kwa nini tumuamini mtu ambaye hakuwa na UTU kwenda kuleta UTU?
It's ok to have doubts. Just don't let them make you question your potential. Decide to keep moving and let there be no holding back. It's ok to have fear alongside faith. As you move forward, certainty will come. Every brave step counts.
Soma hizo takwimu alafu linganisha na takwimu za tume za millioni 37.6 uchaguzi umeishaporwa kabla hata ya siku ya kupiga kura.
Hii tume ya mama imepanga kumpa kura ambazo hazijawahi kuwepo.
Uongo, uhuni Watanzania tusiruhusu uhuni huu kutokea baadae tunalalamika.
#NoReformsNoElection
#michuzitv_updates:-#Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Hesron Polepole, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya kidiplomasia na uongozi wa umma, akitaja kukosekana kwa uelekeo sahihi katika uongozi wa kitaifa, kufifia kwa maadili na dhamira...
👇
https://t.co/fQyVBIqBEb