Gengeni delivery guys having a cup of coffe.
kwenda sokoni kumepitwa na wakati fanya manunuzi yako ukiwa mahala popote Dar.
Pakua application ya Gengeni leo playstore na appstore.
Noma sana. Kuepukana na hii kadhia...we nenda zako app store au playstore download application ya gengeni delivery. Chap mahitaji yako yote ya sokoni tunakufikishia.
Give it a try. HautojutiaβπΏ
Kwa mahitaji yako ya bidhaa mbali mbali za nyumbani kwako kupitia Application ya Gengeni unaweza kufanya manunuzi ukiwa mahali popote na kuletewa ulipo kwa garama nafuu. pakua application ya Gengeni playstore na Appstore leo ufurahie huduma hii.
#gengeni#WAGENGE#gengeniapp
Em fikiria, kipindi cha mvua ndo icho kinaanza. Uende kazini, foleni. uende sokoni, foleni. Imagine ni muda kiasi gani utakua unatumia barabaran!!
Sisi tunakuletea suluhisho ya moja ya changamoto zako, vitu vyote vya sokoni tutakuletea mpaka mlangoni. Tupo katika simu yako.