Bara la Africa pamoja na ulaya, wamegundua uwezo alionao @Freemanmbowetz lakini serekali ya TANZANIA kwa sababu tu JAMAA kawazidi KISIASA, wao wanatamani akae GEREZANI. Wakambambikia kesi ya UGAIDI.
@NjiwaFLow Kinondoni hapo, homeboys wenyewe wanaita hombos! Hiyo taa inazuia magari ya kwenda Morocco yasipite, maana Kuna magari ya kutoka Hombos yanaingia barabara ya old bagamoyo road.
DR SEBI
Tafuta kiti kizuri nikusimulie kuhusu huyu mwamba, mtaalamu wa lishe...
Jamaa alizaliwa huko La Ceiba Honduras, tarehe 26, Nov 1933.
Hadi umauti unamkuta, aliacha mbegu 17 juu ya uso wa dunia. Hakika alitekeleza agizo la kuijaza nchi...
SIMULIZI HII HAPA ๐
Kujua zaidi kuhusu huyu mwamba mwenye damu ya Afrika, endelea kuwepo hapa kwa PACHA wa Dr Sebi. Niite Dr NIZA Tabibu wa High Profile Clientele ๐
NAWAKARIBISHA WADHAMINI
Leo tunayo offer ambapo unalipia 75,000/= badala ya 85,000/= na utapata dawa ya kutibu BAWASIRI
0788700445
"Mungu, makaburi ya baba zetu yapo hapo. Tunakuomba sana maana hatujui pa kwenda, ameamka adui mwenye nguvu kubwa zaidi yetu. Tunakuomba sana sikia kilio chetu. Tumelegea Mungu wangu. Tumeachwa pekee yetu. Tumeachwa na wenye nguvu. Wameungana kutupigaโ
Kilio hiki cha waMaasai ๐ญ
"Waziri mkuu ndie aliyetwambia Rais Magufuli yupo ofisini anachapa kazi na baadae tukatangaziwa msiba, Leo anatwambia hakuna kitu kinachoendelea Ngorongoro, tumchukulie ni muongo mpaka pale atakapo thibitisha kwamba yeye Sio muongo" Mhe: Tundu Lissu