@IheboJr Ukishaanza kujitambua lazima incoming calls ziwe chache, maana watu waliozoea kukutumia kwa manufaa yao wataona umekua mgumu kuingilika.
Watapotea mmoja mmoja.
@Gaspinho15@twiiter_B Kama mtu kuepuka kufanya ujinga ni mpaka awe na hofu ya mungu basi anakosa kitu muhimu sana kinaitwa common sense. Huhitaji dini kujua kwamba hapa ufanye jema au baya, unahitaji kuwa na akili itakayofanya uweze kujitambua.
@sajo_mwaihabi Tatizo la sisi watu weusi huwa hatuamini kwamba kuna natural circumstances zinazoweza kupelekea tukakosa hela, tunaamini mambo yasipoenda sawa basi kuna namna ya ushirikina inapelekea hela inakua ngumu kupatikana.
Nadhani hizi mindset wenzetu wa nchi zilizoendelea hawana.
@k_mjege Kwa nini serikali isipunguze matumizi ya kununua magari ya gharama, iwekeze hela kwenye elimu? Au wakatafute pesa za kusapoti elimu huko huko wanapopata za kununua V8 wasiongezee wananchi mzigo wa tozo.