DAH! LEO NIMEKUMBUKA MIKASA YA SEMINARINI #MikasaYaSeminarini#UZI
Seminarini ni sehemu ambayo kuna visa na mikasa mingi sana na hii ni kutokana na mfumo wa maisha uliopo huko.
Naamini baadhi ya Waseminari waliopo humu kama Ndugu zang @roman_shao@906_mduda na wao watashare hapa.