@Balyx_ Kukosea nchi ya kuanzia maisha Ulaya nalo huwa ni kosa la kiufundi..Sweden ni moja kati ya nchi nzuri jumlisha klabu yenyewe AIK ni kubwa pale. Na hata sasa bado amefanya right choice, Brighton. Kuna klabu kubwa kadhaa hapo kaziacha kwaajili ya kuchagua Brighton.
AIK walitoa €750k tu kumchukua dogo Nigeria, ndani ya mwaka mmoja wameuza £21m kwa Brighton. Kama academy yake ingeweka future sell hata 10% wangepiga £2.1m. Lakini kwa ukata wa fedha €750k ya pamoja waliihitaji zaid.
From Kaduna streets to Swedish headlines in under a year, the rise is wild.
Only 10 months after leaving Ikon Allah Football Academy for around €750k, Zadok Yohanna’s value has exploded, with top European clubs now pushing bids in the €20–30m range.
Congratulations Zadok Yohanna
🚨🔵🔴 More on Julián Álvarez story reported earlier: the official bid has not been submitted yet, it will be sent in the next days.
It will NOT include any players as revealed, and final fee will be clarified as soon as it’s sent (could be in the region of €100m).