Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuificha ndani ya miili yao ikiwa ni tukio la saba ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nchini humo.
Mwanzoni mwa mwezi Oktoba chombo hicho cha ujasusi DRI kilimnasa Mussa Mgonja (62) na Rashid Zamiru (23) ambao waliwasili kutoka Addis Ababa nchini Ethiopia kuelekea jijini Mumbai nchini India.
Ingawa utafutaji wao wa binafsi haukuzaa Matokeo, Kwa mijibu wa ripoti, walipopelekwa katika Hospitali ya JJ, Musa alionekana na vidonge 79 ndani ya mwili wake na Rashid akiwa na vidonge 33 kisha uchunguzi zaidi ulibaini kuwa wawili hao walikuwa wabebaji mahiri wa dawa za kulevya ambapo Mussa alisema hiyo ilikuwa ni safari yake ya pili na alikuwa amesafirisha vidonge kufikia 125 vya madawa huko kuelekea jijini Delhi, nchini India.
#MillardAyoUPDATES
🇮🇱 Israel bombed homes.
🇮🇱 Israel bombed schools.
🇮🇱 Israel bombed hospitals.
🇮🇱 Israel bombed churches.
🇮🇱 Israel bombed evacuees.
🇮🇱 Israel bombed journalists.
🇮🇱 Israel bombed UN workers.
🇮🇱 But they want you to believe Israel is “good” and Palestinians are “evil.”
@Deutsch_Queen@moodewji@Deutsch_Queen Greetings, Here is the generated image of the mentioned Tweet.
🖼️ https://t.co/vUBg6HsAnB
Hit a like if you like this feature.
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?
World Bank is a very momentous development partner in our country.
Today,I met with representatives of the Bank who paid me a courtesy call in my office and had great deliberations touching on the many projects they are undertaking in the country, ....1/3
📍Karimjee,Dar es Salaam
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar ws Salaam Paul Makonda akiwa kwenye shughuli ya kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe, Bernard Kamilius Membe kwneye viwanja vya karimjee Jijini Dar es Salaam
Wakati sisi tunatamani kuweka historia ya kubeba ubingwa wa Afrika, leo nimesikia kwenye Press Msemaji wao akiwasihi wachezaji wao wapambane washinde mechi ili kuweka historia ya kuifunga Yanga? Kuna gap kubwa sana la kifikra na malengo, by the way sishangai maana nyekiti alichaguliwa kwa sera ya kuifunga Yanga SC