@FKihamu Mpira ni Mchezo wa kiungwana na Simba waliatakiwa wafanye mazoezi ya mara ya mwisho kwani huwa ni Technical based ko lazima ufanyie kwenye pitch husika , Ni package nzima ya mbinu za mchezo unaofata huwezi kujiandaa chumbani ili ukapigane sebleni.
There are about 7 to 9 songs missing from this portfolio.. please remind us & you could win a custom made #SIMBA tee in your preferred size & color 📌