@BracuszCadabra Kilichobaki kwa hawa waamuzi ni makofi. Kwanini iwe kila siku kwa simba tu?
Yanga vs Simba (Mwinchui )
Simba vs Azam (Arajiga)
Simba vs pamba(Mabena)
Kuna nini hapa?
@RevocatusMagum1 Asiseme waliyumba hapo kati , sababu inajulikana . Wapo tayari kushuka daraja lakini kaka mkubwa apate pointi kwao.
Hapo timu yenye ubora wa shindana na Simba ,yanga na Azam ni TRA wao hapanaaa!