@mwendawazimu21 @angeliescha @khaledmpendu Sijakutuma mimi umtishe kwa kujifanya wewe mwendawazimu, unafikiri mtoto mzuri ana hamu ya kusogelewa na vichaa? Siyo kosa langu
@khaledmpendu @mwendawazimu21 @angeliescha Kosa lako na wewe jina, jina linakupa hatima yake, inawezekana Malaika akahisi we mwendawazimu. Ila nisamehe tu. MALAIKA najitenga kabisa na huu uendawazimu sina nasaba nao kabisa, we nipe namba uone kama nakudanganya
@mwendawazimu21 @khaledmpendu @angeliescha Halafu Malaika mwenyewe haelewi, wanaomsomesha sijui wanampaga mashairi gani, duh!! Lakini haina kukata tamaa, wazungu walisema "the harder the battle the sweeter the victory" huwezi pata kizuri kirahisi, eti Malaika eeh?