@TweveDevota@Bigsyke20 Hapa bila kurudi kwenye asili, mmoja akawa mwanaume na akatumiza wajibu wake na mwingine akawa mwanamke akatimiza wajibu wake, na wote wakakubali na kujijua hili litaisha
Kumficha mtu kwa saa 48 bila kumfikisha Mahakamani au kumpa dhamana ni kuvunja sheria mnazotakiwa kuzifuata. Muacheni HURU ndugu @fbuyobe au mfikisheni Mahakamani kama kuna tuhuma zozote dhidi yake. Hii ni nchi yetu na wote tunayo HAKI ya kuishi kwa UHURU na AMANI. #FreeBuyobe

Anaitwa Michael Simon ni Diwani mstaafu kupitia CHADEMA kata ya Kiwira Wilaya ya Rungwe-Mbeya
Jana usiku kachukuliwa na watu waliojitambulisha ni askari wakiwa na silaha za moto na kuondoka nae mpaka sasa haijulikani kapelekwa wapi.
#FreeMichaelSimon
#Pichani