@millardayo Naona sela za CCM zimejikita sana kwenye siku 100 za mwanzo wakati sisi tunawapa mdhamana wa kutuongoza kwa miaka mitano yote. Kwa lugha lahisi hizi ni propaganda.
@lifeofmshaba@MariaSTsehai@godbless_lema Shida yasisi wabongo tunashindwa kua na vipaombele yaani unanunua ndege kwa ajili ya kunyunyizia viwatilifu wakati drown zinaweza kufanya ivyo tena kwa ghalama nafuu5
@foreal22331@swahilitimes Yani vita inapigwa eukrain raia wanakufa kenyewe kanatafta suluhu mara malekan saiv kapo saud mwisho wa siku mlusi atatake over
@millardayo Kama tatizo lipo kwenye power transimision kwanini tusiinvest kuboresha efficiency ya miundombinu ya grade ya taifa kuliko kufikilia kuintroduce gharama zingine. Tunatengeneza utegemezi usio na ulazima kama tunaweza kuzalisha umeme insurplus Amount kuna haja gani ya kuimport umme