Inawezekana Mgombea Urais kwa tiketi ya #CCM haamini kinachoendelea Katika kampeni za Uchaguzi huu na haamini Kwamba kuanzia tar.28.10.2020 ndio Basi Tena. Suala la Mh @TunduALissu Kuwa Rais wa Tz, Msilitazame kimwili tu, Tazameni Katka Ulimwengu w Roho.🎤
Polisi wetu walijaribu kuzuia msafara watu wasimsindikize @TunduALissu kwenda Hotelini pale Nyakahoja ili kupunguza msongamano hahahaha acha kabisaa!!. Imebidi Polisi wetu watulie tuliiiiii!!. Nguvu ya umma ni habari nyingine!!.
Tunaendelea Kumuombea Kura Mh @TunduALissu Sisi tuliokosa ajira
Tuliyeitwa vilaza,tulionyimwa mafao yetu, tuliyefungiwa biashara zetu na TRA nk .Tumedanganywa sana sasa basi . Leo tulikuwa Kata ya Isalavanu Kijiji Cha Kikombo.
Wachambuzi Marekani wana wasiwasi huenda Rais Trump kutokana na mvutano wa upigaji kura kwa njia ya posta akadai ushindi baada ya matokeo ya awali kutangazwa
👉CLEAR REASONS TO SUPPORT @TunduALissu for Presidency.
Kwa sisi ambao tunaodhani kuwa kutofaulu kwa utawala wa Meko kutawasaidia @ChademaTz kuchukua nchi na kuibadilisha tena kwa njia sahihi na kwa msingi wa Kidemokrasia inatupa matumaini mapya kama LISSU atashinda Urais OCT.
I love Kagera,I love ,Mwanza,Kigoma,Mbeya,Songwe,I love Mpanda,Sumbawanga,I love Mara,Geita,an mikoa mingine inayojiandaa kumpokea huyu mwami awamu hii haturudi Nyuma.shame watanzania..
#NiYeye2020@TunduALissu
TAKUKURU inawashikilia wafanyabiashara saba wa madini ya Tanzanite mkoani Arusha kwa tuhuma ya kumiliki mali na fedha taslimu zaidi ya Sh bilioni 7.2 bila ya kuwa na maelezo ya kutosha ya upatikanaji wa utajiri huo >>>>https://t.co/Ie6Nex5nWL
Sasa ni saa nne usiku na hiki ndio kitu kinaendelea Bunda Mjini. Maandalizi ya kumpokea mgombea urais (Chadema) @TunduALissu katika viwanja vya Stendi ya Zamani (Bunda Mjini). Sasa kesho itakuajeee? Kimenukaaaa! #nohatenofear#Niyeye2020#TunduLissu2020 ✌️
I love Kagera,I love ,Mwanza,Kigoma,Mbeya,Songwe,I love Mpanda,Sumbawanga,I love Mara,Geita,an mikoa mingine inayojiandaa kumpokea huyu mwami awamu hii haturudi Nyuma.shame watanzania..
#NiYeye2020@TunduALissu
Sasa ni saa nne usiku na hiki ndio kitu kinaendelea Bunda Mjini. Maandalizi ya kumpokea mgombea urais (Chadema) @TunduALissu katika viwanja vya Stendi ya Zamani (Bunda Mjini). Sasa kesho itakuajeee? Kimenukaaaa! #nohatenofear#Niyeye2020#TunduLissu2020 ✌️
Taarifa nilianza kupata asbh na mapema za watu wa Mwanza 🤣 sasa ndo wanawatakia usiku mwema MATAGA hivi 👇🏽
Yaani mabango yao ya kishamba eti Mshua hayana impact - nchi nzima ni LISSU! Rais Lissu!
Endeleeni kuuliza kama wana kadi ya kupiga kura
#TutaelewanaTu mbona?