@ByCardoJason Sasa naelewa jinsi hizi rangi zinavokupa wakati mgumu punter....Fanya upige jiwe zito Dm wanyafwade tutatembeza mchango wa kuzuia wadudu wasiharibu zabibu mtazolima pamoja mjini Dodoma
@Eric__Bernard Nimekumbuka hata Sisi wananchi wenyeji na wahamiaji huku Mtukula hatutakiwi Kukaa sana sehemu zenye mkusanyiko Sababu nchi jirani kunadhaniwa kuwa na mlipuko wa Ebola ..Ikawe Kheri ๐๐พ